Ad Code

Responsive Advertisement

CHANJO ZILIZO KATALIWA KUTUMIKA MAREKANI (USA) NA SISI WATANZANIA HAZITUFAI, ASKOFU MAGIKE ATOA LAKE LA MOYONI KUHUSU CHANJO HIYO


 Askofu Laurent magike wa kanisa la living water international ministries Nae ametoa yake ya moyoni juu ya chanjo mpya ya covid-19 ambayo bado ni gumzo kwa baadhi ya viongozi kuto ridhishwa na chanjo hio.

Dr. magike katika speach yake amesema kuwa inabidi watanzania tuangalie suala hili huwenda litatuletea madhara kwa sasa hadi baadae kulingana na ripoti iliyotoka baada ya wanawake sita kujalibiwa na kupata tatizo la kuganda kwa damu.

hivyo Dr. Laurent magike amesema kuwa watanzania Tuelekeeze imani yetu kwa mungu kwani yeye ndio kimbilio letu.

Post a Comment

0 Comments

Ad Code

Responsive Advertisement