Ad Code

Responsive Advertisement

Gumzo Messi kuvaa jezi ya “PSG” Kingwangalla aibuka “Najuta nilitaka kutangaza EPL”

 

Baada ya mshambuliaji mpya wa PSG, Lionel Messi, kuvaa jezi ya PSG ikionesha maandishi ya VISIT RWANDA, sasa kumeibuka mijadala mingi kupitia mitandao ya kijamii inayohoji maswali mengi huku ikimuhusisha aliyekuwa Waziri wa Utalii na maliasili, Hamis Kigwangalla, juu ya utendaji wake wa kazi enzi akiwa Waziri wa Utalii na Maliasili.

Kigwangala kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter ameandika haya kuwa anajuta kushindwa kutangaza Utalii wa ndani kupitia ligi pendwa duniani EPL.

Mungu shahidi, nilitaka kutangaza EPL lakini haikuwezekana kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Ni katika vitu najuta sana kutovikamilisha nikiwa Waziri wa Utalii. Niliwahi kusema katika vitu kama ningepewa dakika 10 nifanye, basi ningekamilisha, ni hiyo process!,” Mbunge wa Nzega

Post a Comment

0 Comments

Ad Code

Responsive Advertisement