Ad Code

Responsive Advertisement

Messi aanza mazoezi, uso kwa uso na Mbappe, Neymar na Ramos

 

Ni Headlines za mshambuliaji, Lionel Messi ambae Agosti 12, 2021 ameanza rasmi mazoezi katika Klabu yake mpya PSG. 

mchezaji huyo ambae amaitumikia club ya Barcelona takribani miaka mingi sanaa na sasa kaanza kuitumikia club ya PSG  na huko ndiko atakuwa akicheza mpira kuanzia agost  12,2021

Post a Comment

0 Comments

Ad Code

Responsive Advertisement